Sunday, October 16, 2011

New Song (Kenya): CMB PREZZO ft ULOPA - 4 SHO 4 SHIZZY

Jackson Makini aka CMB PREZZO kutoka nchini Kenya amedondosha kazi mpya 4 SHO 4 SHIZZY aliyomshirikisha Producer wa ngoma hiyo ULOPA kutoka katika studio ya SAMAWATI ya Jijini Nairobi Kenya,Video ya kazi hii ameshoot na kampuni ya BOOMBA Video inatarajiwa kutoka baada ya wiki mbili katika vituo vyote vya Tv Africa nzima

Download and listen for promo ONLY

No comments:

Post a Comment