Monday, October 17, 2011

MWASITI ASEMA WASANII WAPASWA KUPENDANA

Tupendane na tuwe na ushirikiano...Hapa kwetu TZ mwanamuziki ukiimba wimbo wa kiingereza tu watu watasema weeeeee bt status zao facebook,twitter na bbm kote wanaandika hiyo lugha na hata nyimbo za wanamuziki wa america wanaziimba pia kwa ufasaha kbs....Yani sasa sijaelewa hii ni kasumba ya jamii yetu ama wa2 hawataki mabadiliko?ama ni nini?

No comments:

Post a Comment