Thursday, October 6, 2011

MMILIKI WA APPLE INC AFARIKI DUNIA



STEVEN PAUL JOBS - STEVE JOBS
Steven Paul Jobs aka Steve Jobs, American computer entrepreneur amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani aka cancer
Steve Jobs aliyezaliwa February 24,1955  (56)  alikua ni Co-founder,Chairman na Chief Executive Officer wa kampuni ya Apple Inc Familia ya Steve Jobs, familia yake ilitoa taarifa ya kuwa Steve amefariki dunia na Rais Barack Obama,Bosi wa Microsoft,Bill Gates na watu wengine mashuhuri walifunguka kuhusiana na kifo chake
Kampuni ya Apple Inc. ilijipatia umaarufu duniani kwa kutengeneza bidhaa za electonics,computer software pamoja na hardware kama Macintosh,iPod,iPhone na iPad pamoja na program inayotumiwa sana kwenye utengenezaji wa videos,final Cut Studio,Logic Studio na internet ya Safari

No comments:

Post a Comment