Thursday, October 20, 2011

MEJJA AZINGUANA NA DJ KWENYE STAGE

MEJJA - KENYAN ARTIST
Madenti wa chuo cha Kenya Methodist University walipata entertainment ya nguvu toka kwa Genge artist,Mejja kwenye bata la kumtafuta Miss wa chuo hicho pande za City Hall,lakini lilizuka sebene wakati mic ya Mejja ilipozingua wakati ana perform
Mejja alimlaumu DJ Gordon kwa sound system yake kuzingua na wakati anaimba ngoma yake ya Landlord alibadilisha chorus na kuanza kuimba “Usiniharibie siku bana DJ na kumfanya DJ kuzima mziki na kumlazimisha Mejja aimbe accapela aka bila beat na kuonekana ku-bore madenti hao na baadaye lecturer wa chuo hicho aliwapatanisha Mejja na DJ coz walikua wanaelekea kwenye beef jipya

No comments:

Post a Comment