Tuesday, October 4, 2011

JULIANI APATA TUZO


JULIUS OWINO - JULIANI


Gospel musician toka Kenya,Julius Owino aka Juliani amevunja rekodi nchini humo mwaka huu kwa kuchukua tuzo 4 kwenye tuzo za Kisima-2011
Juliani mbali na kupata tuzo 4 zikiwemo za Best Gospel artist na Hip Hop artist,pia amepata zawadi ya cash,Shilingi milioni 1 za Kenya toka kwa waandaaji wa Kisima Music Awards-2011 zilizofanyika pande za Kenyatta International Conference Centre,na kufunguka kuwa atatoa sehemu ya mkwanja huo kupeleka kwenye project yao ya Kama Si Sisi

No comments:

Post a Comment