
Bongo Flava Artist,Dully Sykes aka Mr Bongo Flava atakwea pipa kuelekea nchini India kwa showz kadhaa
Dully atapiga show ya kwanza tarehe 28,October pande za Hyderbad na tarehe 29 atakuwa Mysore na 30,October 2011 atakuwa pande za Bangalore
No comments:
Post a Comment