DITTO HAWATEMBELEA WAZEE
Ditto akiwa katika kijiji cha Nunge hiki ni kijiji ambacho wazee wasiojiweza na wanaoishi na ukoma wanaishi hapo,ambapo tulifika uko kuwatembelea jana. Habari toka kwake zinasema kuwa alifalijika sana kukutana na wazee hao.
Hapa ni katika makazi ya wazee wsiojiweza katika kjiji cha nunge... tuliwatembelea hapa nipo na rafiki yangu,Wa kati ni Mzee Chambuso.
No comments:
Post a Comment