Monday, August 22, 2011

VODACOM MISS TANZANIA WAREJEA V-HOUSE


 
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa katika picha ya pamoja. Warembo hawa wamerejea katika jumba la Vodacom baada ya kumaliza ziara yao ya siku kumi kutembelea mbuga za wanyama za Mikumi, mji wa Monduli, Ngongoro, Tarangire, Arusha mjini kuhamasisha utalii wa ndani nchini pamoja na kufanya shughuli mbalimbali za kijamii wakiwa katika ziara hiyo.

No comments:

Post a Comment