Monday, August 22, 2011

EXTRA BONGO, TWANGA ZAZIDI KUKAMUA



 
Wanenguaji wa Extra Bongo wakiwajibika jukwaani.

                                                         Mtindo wa ‘Mbuzi kala kamba’ ndiyo huo
WAKATI bendi za muziki wa taarabu zimesitisha maonyesho yao kupisha mfungo wa Ramadhani kwa Waislam nchini, bendi za muziki wa dansi zimekuwa zikiendelea kutoa show....

No comments:

Post a Comment