Wednesday, April 3, 2013
KAJALA MASANJA AJICHORA TATTOO YA WEMA SEPETU MGONGONI
BONGO DAWN TOWN
Kajala ameamua kuchora Tattoo yenye jina la
WEMA
mgongoni mwake
baada ya kutolewa faini ya Shilingi Milioni 13 na msanii mwenzake Wema Sepetu,
hii ikiwa kama ishara ya shukrani kwa rafiki yake kipenzi Wema Sepetu.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment