Tuesday, April 2, 2013

Diamond Asema"Mie Najituma Q-Chief Anavuta Bangi

BONGO DAWN TOWN
Hii  ni  kauli  ya  msanii Diamond kuhusu Q chief: mi nafanya kazi, mazoezi na dancers, nahangaika kutafuta sare, kuandika nyimbo nzuri, wakati nafanya yote hayo we unakula unga, halafu unakuja kusema nasafiria nyota yako, nisafirie nyota ya mla unga? mi staki, staki, agombane na wakubwa wenzake kina dully mi aniache na wadogo wenzangu staki...?

1 comment:

  1. ahaaaaaaaaa huyo Q chief hana jipya jombaaa,endelea kukamua mziki mzuri,yeye ale unga kwani kwenye game yeye ni R.I.P mashabiki tulishamzika kitambo anatafuta skendo tu mbulula huyo.

    ReplyDelete