Chuma Blog

MPENZI msomaji, leo tunaendelea na sehemu ya pili ya mada hii tuliyoianza wiki iliyopita. Twende pamoja...
Mke wa mtu mkali wa mafiga matatu mpaka matano. Anaita vidumu. Anaingia hoteli na gesti bila woga. Wapo wanaodiriki kuwaingiza wanaume ndani ya nyumba zao, wakati waume zao wakiwa hawapo. Balaa likamkuta yule mwanamke wa Kenya, akagandiana na mwanaume aliyemuingiza chumbani kwake, juu ya kitanda anacholala na mumewe.
Wengine ni ujasiri wa asili, wapo wanaofanya hivyo kwa sababu wanaona fasheni. Katika kundi hili wanaorukaruka, wakijiona ni fasheni ndiyo shabaha yangu kubwa. Itapendeza zaidi mapenzi yakikaa kwenye mstari wake ulionyooka. Maana halisi isipindishwe.
Kama ambavyo Jennifer Lopez, anavyobadili wanaume Marekani, eti na hapa Bongo, Wema Sepetu naye hajambo.…

No comments:
Post a Comment