Wednesday, July 25, 2012

WAFARANSA WAMTOLEA MACHO RIHANNA

Chuma Blog

Rihanna yupo nchini Ufaransa ambako ameenda kupumzika na kula bata. Akiwa huko wananchi wa Ufaransa walikuwa wakimfuata  nyuma kama watoto wa kijijini wamwonapo mzungu kwa mara ya kwanza.
Alikuwa na shoga yake Mellisa

No comments:

Post a Comment