Sunday, July 22, 2012

STAMINA ANAJUTA KUBALEE

Chuma Blog
Ni baada ya Stamina kuona umuhimu wangu kwake na kuniletea nyimbo yake mpya na kuisikiliza,kwani ni bonge la hit.
Baada ya kupata nafsi ya kusikiliza nyimbo hiyo mpya ya Stamina ambayo anatalajia kutambulishwa wiki ijao,ambayo inakweda kwa jina la Najuta Kubalee.


Ilinibidi kumuliza maswali, kwanini amependa kuita hivyo?Alisema kuwa ni kutokana na maisha ya sasa kwa vijana wengi ambao wakifikia wakati huo wanaingia katika maisha mengine ya kidunia.Maana kamili ni kuwa ukisha fikisha miaka 18 unakuwa tayari kijana mwenye kujua ya duniani.Ambapo kuna muda kijana huyo huyo anahamu ya kuludi kuwa mtoto.
 Sijawa mchoyo sikiliza kidogo kipande cha nyimbo hiyo:

No comments:

Post a Comment