Friday, July 27, 2012

SASA MJUE "ASHA NGEDELE" ORIJINO KABISA

Chuma Blog
Photo: BREAKING NEWS,     BREAKING NEWS.
 HII HAIJAWAI KUANDIKWA POPOTE DUNIA
Yule Asha ngedele Orijino anayetajwa na kundi la Orijino Komedy nimemnasa usikuu huu ndani ya baa moja liyoipo katikatika ya mjini wa Morogoro,na kufunguaka mambo mengi miongoni mwa hayoi amethibitisha kwamba Mpoki ni kaka yake wa damu,kwa habari zaidi na Picha za tukio hili endele kuwa na mimi
Yule Asha ngedele Orijino anayetajwa na kundi la Orijino Komedy nimemnasa usikuu huu ndani ya baa moja iliyopo katikati ya mjini wa Morogoro,na kufunguaka mambo mengi miongoni mwa hayo, amethibitisha kwamba Mpoki ni kaka yake wa damu.

kwani nimempigia simu Mpoki kwa no yake 0713 44 12 ## kwa lengo la kusikia kauli yake juu ya habari hii.ameniomba nimpigia baada.

No comments:

Post a Comment