Chuma Blog
Ni
G-Sam akimshirikisha Breeze katika pini la Atown Stereo,Brand new
hiphop joint from the north side of TZ,ikiwa ni product ya camp ya
Machiz flan wenye maskani yao pande za Olmatejoo huku vocals zikiwa
zimesmamiwa pande za noizmekah.com."Tunafanya
real so watu wetu ambao wapo real wanaelewa struggle yetu na kutupa
mwongozo pamoja na support"hiphop ndo life letu we do it for the people
so kwa mawasiliano zaidi tuchek katika 0764315643 arif"
No comments:
Post a Comment