
PRODUCER MBEZI AKA GODFATHER AKIWA NA KINGKAPITA STUDIO



KINGKAPITA AKIPIGA 1 AND 2 KWENYE VOCAL ROOM
HUYU NDIO PRODUCER WA TILALILA YA BLUE,ALISHAFANYA KAZI NA WASANII KIBAO
WA BONGO NA HITS KIBAO AKIWA STUDIO MBALI MBALI MFANO.DHAHABU RECORDS
NA NYINGINE NYINGI SASA AANZISHA STUDIO YAKE MWENYEWE
NA KWASASA ANAMSIMAMIA DOGO SHEBY KIJANA MDOGO ANAEFANYA VIZURI KWENYE BONGO FLAVA KWASASA NA NGOMA INAITWA KUSOMA
IPO TABATA - BARAKUDA
CONTACT - +255714430722
BBM PIN - 2194D065
No comments:
Post a Comment