Sunday, July 15, 2012

NEW SONG: YUNG SIZZA FT TANNAH - MONEY ON MY MIND

Chuma Blog
 
Natambulisha nyimbo mpya inaitwa MONEY ON MY MIND
Ni ladha tofauti na mziki wa BongoFleva and I hope watu watanipokea vizuri na kunipa support
Nategemea kufanya video ya hii nyimbo hapo mwezi wa 9
Naomba support zenu wadau wa mziki..Pamoja sana!!
+255 713 067 780
 
Song : MONEY ON MY MIND
Artist : YUNG SIZZA FT TANNAH
Hebron Studio

No comments:

Post a Comment