Chuma Blog
Dab
Muzik ent na Watengwa recs. Wanakuletea Street-Tape iliotengenezwa na
Daz Naledge Kwenye studio za Watengwa ‘Imeitwa Street-Tape kwa sababu
imetengenezwa bila kuwa na dj wa kuchanganya nyimbo hizi katika mfumo wa
mixtape’ amesema Daz…Wakati tape hii inaingia mtaani Naledge amemtumia
Dj Ph wa ufaransa mzigo mzima, kwa ushirikiano wa huyu jamaa pamoja
watatengeneza MIXTAPE ambayo itauzwa world-wide kuanzia mwezi wa kumi
mwaka huu.Street-Tape hii inapatikana kwa sh.3000…..Nyimbo hii iko
kwenye Street-Tape hii na kuanzia sasa imeachiliwa rasmi kama promo ya
mzogo mzima….
kwa wale ambao wako nje ya Arusha Mcheki Daz kwenye fb page
yake ya Daz Naledge ama 0719 300 204
No comments:
Post a Comment