Chuma Blog
Miss Moro 2012 Joyce
Baluhi[kati] akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa pili Salvina
Kibona[kushoto] na mshindi wa tatu Nafya Waziri
| Mshiriki no 12 Sophia Steven[21] |
| Mshiriki no 11 Prisca Mengi[18] |
| Mshiriki no 2 Deborah William[19] |
| majaji wakifanya kazi yao ya chinja chinja |
| Mss Moro 2011 aliyemaliza muda wake Asha Saleh [kulia] akiwa na miss Moro 2012 Joyce Baluhi |
No comments:
Post a Comment