Chuma Blog
.

Rapper Mkali kutoka Chicago anamipango
ya kuachia kuachia mixtape yake inayoitwa “Don’t Like” akiwa na Chief
Keef na Friddie Gibbs baadae wiki hii. Ni wiki chache zimepita toka
ilipotangazwa kuwa Chief Keef atasaini na Interscope Records, Imeonekana
Rapper mdogo kutoka Chicago amesainiwa na label kubwa ya Def Jam
Recordings katika Press Release kwamba Rapper huyo mwenye miaka 19
amesaini label hiyo. Akifunguka Rais wa Def Jam Joie Manda alisema
wamemchukua rapper huyo na kuwa na maono mengine Mashariki ya kati. Lil
Reese ataachia mixtape yake ya “Don’t like” Itakayotoka tarehe 4 Mwezi
wa 7.
No comments:
Post a Comment