Sunday, July 15, 2012

KIGOMA ALL STARS WAINGIA MKOANI KIGOMA

Chuma Blog
Pichani: Linex, Peter Msechu & Abdu Kiba Wasanii wale wa bongo fleva waliotokea Kigoma hivi sasa wapo jijini tayari kwa show yao ya tarehe 17/07/2012. Wasanii hao ni kama Linex, Abdu Kiba, Mwasiti, Recho, Banana Zoro, Diamond, Ommy Dimpoz, Queen Dlyn, Macomandor..etc..Show hiyo itakuwa "BURE"katika uwanja wa Lake Tanganyika...

No comments:

Post a Comment