Saturday, July 7, 2012

JOSE CHAMELEONE NDANI YA BONGO LEO KWAJILI YA SHOW

Chuma Blog
Jose Chameleone akiwa Uwanja wa Taifa wa Julius Nyerere baada ya kuwasili leo.

Chameleone akilakiwa na mmoja wa waratibu wa Tamasha la Matumaini, Benjamin Mwanambuu.
Jose Chameleone ndani ya Gari analotumia.
 
Jose Chameleone ndani ya Gari analotumia kwa siku atakazo kuwa kwenye show

No comments:

Post a Comment