Chuma Blog
Ile show ya hip hop inayoendeshwa na Fareed Kubanda aka Fid Q sasa itakuwa ikionekana kupitia East Afrika TV, Channel5. Awali show hiyo ambayo huwahusisha wasanii wakali wa hip hop Afrika Mashariki ilikuwa ikipatikana kwenye mtandao pekee.
Hii ni teaser ya kipindi hicho kitakachoanza hivi karibuni kwa ubora zaidi.

No comments:
Post a Comment