Friday, July 20, 2012

BREAKING NEWS : FUJO MABOMU YATAWALA ZANZIBAR

Chuma Blog


Hali ni tete Mjini Unguja baada ya kundi la Uamsho kuamua kuwaombea Dua waliozama na Meli, lakini habari toka kwa mtu ambae yupo huko anasema askari wameenda na kuwatawanya kwa mabomu, habari zaidi tutawajulisha muda si mrefu.


Zanzibar Fujo

No comments:

Post a Comment