Chuma Blog
Kwa wale walio sikiliza wimbo mpya wa
Loveness aka Diva
DIVA “My song will Be out today. Yay !:-) ft Diamond Platnumz
-Piga simu is finally outta , again its a business song.”ametweet.
Kwa mujibu wa Diva, Diamond kafanya kweli kwenye wimbo huo
uliotengenezwa na Lamar, “Diamond nailed it.”
Diamond alisema hapigi collabo na msanii bila milioni kadhaa
mezani, so Diva kampa shilingi ngapi? “No, Sijamlipa - niliongea nae ktk simu
b4 hajaenda big brother then ndio tukakutana studio juzi , but this is what I
can say 'he is talented.” Ameandika Diva.
Kwanini anasema ni wimbo wa biashara? “After kutambulishwa
,next thing ni ktk simu za mikononi ,that's y I said its a business song.”
Mhh! So tutegemee kuusikia wimbo huo kwenye matangazo ya
miongoni mwa kampuni za simu Tanzania? Yeah kweli ni biashara!
By the way ni rahisi mno kutengeneza hela ukiwa maarufu siku
hizi! Ni akili yako tu. Go get the money shorty!
No comments:
Post a Comment