NILICHOKUTA LEO KATIKA FACEBOOK KUHUSU DIAMOND
Chuma Blog
 |
DIAMOND (Msanii) |
AchakudanganywaUkitaka
kujua ukweli kwamba DIMOND hajasaidiwa na mama yake wala flimason,
mpaka kufika hapo alipo bali ni propaganda zake na kuficha ukweli uliopo
kufuta ubishi huu mtafute papaa bosi wake aliekua mzamini wake akupe
ukweli wamambo kuhusu DIMOND kwambahana fadhila naakwambie aliko mtoa
kamahakuna nguvu ya sangoma aitwae ustadhi yahaya wakigogo luhangha
mnitoe kafala, dogo hakumbuki waliomfikishahapo anazuga kwamba kasaidiwa
namama yake, wakatihuo akiomba mungu nawazamini wakumtoa mamayake
alikua hanahata pesa yakupigia lamli ange mtoavipi? huyu dogo kinacho
msumbua ni roho mbaya nakurewa sifa!
FREDY
ReplyDeleteULIYOYASEMA WALA SIO AJABU KWA MAISHA YA WATANZANIA WOTE KWANI USHIRIKINA NDIO JADI YA KILA MTANZANIA NAWEZA KUSEMA LABDA NI 1% TU AMBAO WANAMUOGOPA MUNGU KWA KUTOMSHIRIKISHA NA IMANI MBOVU KWA HIYO SIKU ZOTE MASIKINI HAKIPATA BASI HAO ALIOWAACHA CHINI WATAMMIND, NA ALIYEPATA JEURI NI NDIO LAZIMA ATAKUWA NAYO SO SIONI CHA KULALAMIKA ELEWA KUWA HAYO MALALAMIKO YAKO NDIO UNAZIDI KUMFAGILIA HUYO BWANA MDOGO DIAMOND.
nguvu za sangoma kumbe
ReplyDelete