Tuesday, May 29, 2012

‘SUGU’ KUTOA BURUDANI KALI DAR LIVE JUMAPILI HII

Chuma Blog
Mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop nchini Joseph Mbilinyi aka ‘M II’ au
‘Sugu’ amethibitisha kuwa siku ya Jumapili ijayo (Juni 3) atatoa shoo

ya nguvu ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala,

jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa Global
Publishers Abdalah Mrisho (kushoto) akiongea na waandishi wa habari

(hawapo pichani) kuhusu burudani itakayotolewa na Sugu akiwa na wasanii

wengine wakali   ambao ni pamoja na Professor J na Juma Nature.  Kulia

ni Mratibu wa Shoo za Wasanii Dar Live, Luqman Maloto.
Mr II akiongea na waandishi wa habari juu ya onyesho hilo,(kushoto) ni Mratibu wa Burudani na Matukio Dar Live, Juma Mbizo.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mkali huyo.
Mr II akiwa na wafanyakazi wa Global Publishers ambao, kutoka kushoto ni: Walusanga Ndaki, Sudi Kivea na Clarance Mulisa. 

No comments:

Post a Comment