Thursday, May 24, 2012

PRODUCED MPYA WA SHOW BIZ NAE KUACHA KAZI ....

Chuma Blog
ABAS ADAM
 Ni siku chache tu baada ya produced wa video Eryne Epidu wa Show Biz kutema kazi katika Company hiyo.Ndipo mmiliki wa kampuni kuamuwa kumtafuta Produced mwingine atakaye fanya kazi za video.

Baada ya Chuma blog kusikia Epidu katoka Show Biz ndipo imetubidi kumtafuta produced mpya wa Show biz Abas Adam na kuongea nae siku ya jana Alisema......

Nimechomoka Show Biz kuazi sasa navoongea nae kwa sababu imetokea kutokuelewana na Mmiliki huyo kwa hiyo nimeamua kufungua Kampuni yangu, Ila bado sijaipa jina na ofisi zipo kinondoni "Manyanya" jengo moja na Classic Sound ya Mona Gangster na ishaanza kufanya kazi so yoyote anakaribishwa..............

SIKILIZA Eryne D. Epidu alichosema baada ya kuojiwa na Gossip wa "U Heard"

No comments:

Post a Comment