Mwanamitindo mahiri wa kimataifa Flaviana Matata ambae in founder wa Flaviana Matata Foundation (FMF) amekuja
nchini akitokea nchini U.S.A ambako ndiko anapoishi kwa sasa mahsusi
kwa ya ajili ya kugawa msaada wa vifaa vya kuokolea maisha majini (Life
Vests) ikiwa ni miaka 16 tangu meli ya MV Bukoba
izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo, anatarajia
kugawa msaada wa vifaa hivyo Jumatatu ya 21 May jijini mwanza.
No comments:
Post a Comment