Chuma Blog
KUFUATIA uvumi uliozagaa katika Jiji la Dar ukidai kwamba, msanii anayefanya vizuri kwenye gemu la sinema Bongo, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia, mkewe Wastara Juma ameibuka akiwataka wazushi hao kuacha mara moja tabia hiyo.

Uvumi huo ulizagaa kuanzia Jumamosi iliyopita huku watu kadhaa
wakiandika kwenye kurasa zao za mtandao wa kijamii wa Facebook kuwa,
staa huyo ameaga dunia.
Wastara mwenyewe alikiri kupokea simu nyingi kutoka ndani na nje ya
nchi zikimpa pole kufuatia ‘kifo’ cha mumewe jambo ambalo alisema
linamuumiza sana.
Aidha, Wastara alisema: “Sijui ni binadamu gani aliyeanza kusambaza
uzushi huo, lakini nawaomba watu wanaotumia mitandao ya kijamii au
kutumia ujumbe mfupi wa maneno kwa simu (sms) kuwa…
Na Gladness Mallya
No comments:
Post a Comment