Monday, April 23, 2012

NEW SONG: Dully Sykes - MAPENZI YA BBM

Chuma Blog

King wa Bongo Fleva Dully Sykes ametoa wimbo mpya unaokwenda kwa jina la MAPENZI YA BBM ukiwa ni maalumu tu kwa watu wanaotumia BBM (Blackberry Messenger) tu na sio wa Radio wala Club. Dully amesema ameutoa wimbo huo kutokana na kwa sasa Blackberry Messenger kushika chati kwa hapa Bongo na nje ya bongo.

No comments:

Post a Comment