Chuma Blog
![]() |
MIMI NA BABA YA MZAZI NIKIWA NA MIEZI KADHAA |
Namshukulu mungu kwa kuniwezesha leo hii kufika hapa nilipo kwani tarehe kama hii ndio siku yangu ya kuzaliwa,11-04-19..
Napenda kuwa shukulu wote wenye mema nami na kunitakia maisha mema.
Something that has always puzzled me all my life is why When I am in special need of help The good deed is usually done by somebody on whom I have no claim. Thank You. Thanks a lot for your wishes on my birthday and that beautiful scrap. Thanks you for making my birthday truly memorable.
No comments:
Post a Comment