Wednesday, April 11, 2012

Mkubwa na Wanae watikisa Pasaka Morogoro

Chuma Blog
Hali ilikuwa hivi kabla ya show kuhaza katika Mlima Uluguru,muda hulipo fika show kuaza ikashuka mvua ya kweli.

Kwani Morogoro wapo kiburudani wakaaza kufika hivo hivo ata kama mvua inanyesha.
 Nyomi lilikuwa hivi kwani kulikuwa na watu wakutosha......
FeruzI akiwa anafanya mambo ya kiboda boda




Mchujo ukaaza kwa watoto wakucheza..........

 Temba na Feruz wakiwa wanamkabidhi zawadi ya TV kwa mtoto aliye shida kucheza.

No comments:

Post a Comment