Tuesday, April 10, 2012

LIVE : KUTOKA KINONDONI MAKABURINI KWENYE MAZISHI

Chuma Blog
Hii ni barabara ya Kinondoni kuingia kwenye makaburi ya Kinondoni ilikuwa ni balaaaa yani dah, kule mbele ndio mwili wa marehemu Steven Kanumba ndio unakuja

 Kwa wingi wa watu ilibidi watu wapande juu ya miti lakini baadae waliamuriwa washuke chini na kamanda Kova

 Ray akiwa aamini kama swaiba wake ndio anakwenda kwenye nyumba yake ya milele

 Charlz Baba akiwa na wenzake kutoka Mashujaa Band baada ya kufika kutoka safarini walipo kuwa wanafanya show kwani imewabidi kuludi alaka kuja kumzika mtu wao.

No comments:

Post a Comment