Saturday, April 28, 2012

LAWIZE ATA RELEASE UJANA SOON!

Chuma Blog

Lawize amenifungukia mapema kuwa anakaribia kuachia ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la UJANA sasa subiri ujue humo ndani ujana unachanwa vipi, Pia jamaa alitamba na ngoma yake ya Ugali dagaa ambayo ilimtambulisha vema.

2 comments:

  1. Ujana~LAWIZE Ft MOMBA NA RICH MAVOKO

    Producer~Mazuu

    Studio~Mazuu records

    4/5/2012

    @_Lawize

    ReplyDelete