Chuma Blog

Mshatkiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu' akielekea kupanda ngazi na kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa Upelelezi haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Rita Tarimo hivyo kesi hiyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu.
Mshtakiwa akipanda ngazi kuelekea Kizimbani ambalo kesi yake ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku akiwa katika ulinzi kutoka kwa askari Magereza.
| Mtuhumiwa amerudishwa rumande. |
Tofauti na ilivyokuwa alivyo pandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza 'Lulu' leo alikuwa katika ulizni wa hali ya juu huku askari magereza wakiwa wamevalia mikanda yenye mabomu ya machozi ikiwa ni katika kukabilia na rapsha ya aina yeyote ambayo ingeweza kutokea .Kitu kingine ni kwamba msanii huyo alifika akiwa amevalia gauni refu na mtandio wake mwekundu walitu walijaa lakini siyo kwa wingi ambao wengi walitarajia kutokana na umaarufu alio nao Lulu hata kabla ya kufikwa na tuhuma hizo za kesi ya mauaji ya aliyekuwa Msanii nyota wa Filamu nchini Steven Charles Kanumba. kilichotokea nyumbani kwake Sinza Vaticanjijini Dar es Salaam april 7 mwaka huu.
kwa hisani ya bongoweekend
kwa hisani ya bongoweekend
No comments:
Post a Comment