Wednesday, April 25, 2012

JOKATE NA DIAMOND SASA MAPENZI NJE NJE

Chuma Blog
  Kile kitendawili cha nimpende nani toka kwa mwanamuziki Diamond"platnum" kimepata jibu baada ya kuziilishwa na yeye mwenyewe kuwa yuko ndani ya mahusiano na mwanadada Jokate Mwongelo.
Diamond ameziilisha upendo wake wa wazi kwa mpenzi wake wa sasa ambae ni Jokate ambapo awali alikataa lakini jamaa kafanya kweli kwa kuweka wazi uhusiano wake na mnyange huyo.
  " No wan can take your place kate..ilove u so much my baby" hivi ndivyo Diamond alivyoandika katika ukurasa wake kupitia simu yake .

1 comment:

  1. Hope so dimond is it not what u told wema 2 ???????????

    ReplyDelete