Monday, April 2, 2012

HAMMER Q AJIUNGA RASMI NA OFFSIDE TRICK

Chuma Blog
Msanii wa Bongofleva Hammer Q amethibitisha rasmi kujiunga na kundi la OFFSIDE TRICK baada ya mmoja Kati ya wasanii wanaounda kundi hilo kujiondoa...Hammer amesema “Muda ameamua kupumzika kufanya muziki kwa hiyo Offside kama kampuni imeamua kunichukua nije nizibe  pengo na nimekubali na sasa niko rasmi na kundi la Offside Trick ila mipango yangu ya kumiliki band iko palepale

No comments:

Post a Comment