Monday, April 16, 2012

CLOUDS FM WAZIDI KUTIA FOLA ?

Chuma Blog
 Wana Power Breakfast wakiwa viwanja vya mnazi mmoja katika azimio la April
...a. k.a......Morogoro 88.5 online
 
Paul James wa Power Breakfast ya Clouds FM akiwa viwanja vya mnazi mmoja katika azimio la April...a.k.a....Mtwara 88.4 online 
            Jackson Technical Manager wa Clouds FM akiwa katika viwanja vya mnazi mmoja kwenye azimio la April....a.k.a...89.8 Singida
           Barbara akiwa viwanja vya mnazi mmoja katika azimio la April...a.k.a....Pwani 88.4 online           Dee Andy mwanadadiva wa 255 ya xxl kupitia Clouds FM The people's station busy katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es salaam kwenye azimio la April...a.k.a....Dodoma 104.4         Jackson Technical Manager wa Clouds FM akiwa katika viwanja vya mnazi mmoja katikaazimio la April...a.k.a....Mwanza 88.1
    Dina Marios akiwa katika viwanja vya mnazi mmoja katika azimio la April...a.k.a.....Moshi 87.9 online

No comments:

Post a Comment