Sunday, April 8, 2012

Barnaba amepata mtoto wa kiume, na kumuita Steven

Chuma Blog
 

Mke wa mwimbaji kutoka THT, Baranaba leo amjifungua mtoto wa kiume, na kupitia Facebook yake Barnaba amesema kwamba waliamua kumuita mtoto huyo Steven kwa heshima na kumuenzi marehemu Kanumba.
Steven Baranbas Elias amezaliwa tarehe 7 April majira ya saa sita kasoro dakika 15 mchana.
Hongereni sana Baba na Mama Steven!!


No comments:

Post a Comment