Chuma Blog
![]() |
Msanii wa kizazi kipya, kutoka THT Amini akiwa katika utengenezaji wa video ya nyimbo yake.Ambayo imekuwa guzo sana mitaa baada watu kukamatia picha hizo na kutakaza kuwa ni ndoa kwake.kwani stori ilikuwa hivi .......... Amini" kuachana na ukapela kwa kuvuta jiko kimya kimya. harusi hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Kanisa la Mt. Joseph jijini Dar es Salaam. Picha hiyo inawaonyesha maharusi wakitoka kanisani kwa nderemo na vifijo. |
![]() |
Maharusi wakiingia katika gari lao mara baada ya kufunga pingu za maisha.… Baada ya kuongea nae alisema...AMINI |
No comments:
Post a Comment