Chuma Blog
Sikiliza maelezo kutoka kwa mkuu wa Polisi Morogoro
![]() |
Afande Sele akiwa kaunta ya Polisi akichukuliwa maelezo baada ya kutoka kwenye tukio |
![]() |
Afande sele akilia kwa machungu baada ya kutoa maelezo yake nakuambiawa akae chini. |
![]() |
20 parcent akitokwa na Damu baada ya kupata kipigo na Polisi |
![]() | |
Afande sele na 20 parcent wakiwa kwenye majonzi mazito na kujikuta wakilia kutokana na tukio |
No comments:
Post a Comment