Chuma Blog

Hatimaye wimbo wa amazon unaojulikana kwa jina la CHECHE RUMBA, umeweza kupiga hatua na kuweza kufanya vizuri kimataifa, nchini india wimbo huo umekuwa gumzo na mpaka kusababisha dj maarufu wa mji wa mumbai deejay Nandan kuwasiliana na BFL (Chuma).Ila ata hivo Deejay Nandan kuamuwa kuufanyia remix wimbo huo.Inasemekana wimbo wa cheche rumba unafanya vizuri katika club za india na nairobi pamoja na kampala nchini uganda.
No comments:
Post a Comment