Tuesday, March 27, 2012

UZINDUZI WA ALBUM YA WEUSI "MUZIKI MZURI" katika mikoa ya IRINGA & MOROGORO

Chuma Blog
Show hii itakuwa pande za IRINGA siku ya tarehe 31 mwezi huu wa 3 katika ukumbi wa HIGHLAND HALL na kiingilio kitakuwa ni sh 10,000 tu 

Baada ya Iringa watu wazima watadondoka pande za MOROGORO siku ya tarehe 1 mwezi wa 4 na kukinukisha katika ukumbi wa FOURSTAR CLUB kwa kiingilio cha 7000 tu

No comments:

Post a Comment