Wednesday, March 21, 2012

MANENO 35 ALIYOYATOA JAGUAR KUHUSU WIMBO WA PREZZO


Chuma Blog
Jaguar
Pamoja na kwamba watu wengi waliamini malumbano ya Jaguar na Prezzo yangetulia kidogo mwaka huu baada ya wawili hao kutoleana mbovu sana mwishoni mwa mwaka jana na hata mwanzoni mwa mwaka huu, ishu haijawa kama ilivyotarajiwa.
Stori mpya kutoka kwa Jaguar ni kwamba amethibitisha kuusikia wimbo wa hasimu wake yani Prezzo, single ya for sho fo shizzy.
Amesema “nimeisikia lakini naona watu walitoka huko kitambo sana, fo sho fo shizzy haiko kwenye ligi ya sasa hivi kama ilivyokua kwake 2004, Prezzo anafanya muziki wa 2004 wakati sasa hivi ni 2012.
.
Jaguar ameamplfy zaidi kwamba “nataka nimwambie aende na wakati, kuhusu mimi kufanya kolabo na yeye sioni kama nitafaidika na chochote, muziki wangu na Prezzo ni tofauti sana, muziki wangu sio wa kujigamba, wangu ni wa kuelimisha jamii ndio maana nasema tuko tofauti sana ila simc
 ByMillardayo

No comments:

Post a Comment