Chuma Blog
Wema Sepetu akiwa mitaa ya Dubai night flani hivi.
Wema asema ,mtu mzima Diamond hakuweza hivi?
Mrembo na muigizaji shupavu Wema Sepetu amefanya kufuru baada kwenda Dubai kufanya shopping ya madude ya kutupia mwilini,huyo wa ukweli amefikia hoteli yenye hadhi ya nyota tano kama haitoshi imekuwa kama kumzodoa kimtindo aliekuwa mpenzi wake wa zamani Diamond kuwa anaweza kujimudu kwa vitu kama hivyo.

No comments:
Post a Comment