Chuma Blog


Mwanamuziki kutoka Afrika ya kusini ambaye anatamba na single yake ambayo ameipatia jina la Facebook,Dj Cleo wiki iliyopita alianguka nyumbani kwake katika eneo la Honeydew kwa kuugua maradhi ya Appendix.Dj Cleo ambaye alikimbizwa hospitali na mkewake, alifanyiwa upasuaji Jumanne usiku. Alisema ‘Nilifikiria kwamba ninakufa kwa jinsi nilivyosikia uchungu mkali tumboni kabla ya kuletwa hospitali Jumatatu. Namshukuru Mungu naendelea vizuri..........
No comments:
Post a Comment