Wednesday, February 22, 2012

Dayna anaomba kura yako kushinda Tuzo za "Kili Music Award" 2012

Chuma Blog
Habari wapendwa!! Dayna anaomba kura yako ili kumuwezesha kushinda Tuzo za "Kili Music Award" kumfanya awe mtumbuizaji bora wa kike tuma sms neno A4 kwenda namba 15747, Na ili niwe mwimbaji bora wa kike tuma sms neno D4 kwenda namba iyo iyo 15747, Na pia kuufanya wimbo wngu wa "Nivute kwako" kuwa wimbo bora wa zouk/Rhumba tuma sms neno W3 kwenda namba 15747, Pia unaweza kuVOTE kupitia www.kilitimetz.com utafata maelezo ili kura yako ihesabike plz naomba VOTE yako kwenye kili musical awards 2012... support Dayna a.k.a Mkali wao. thnx

No comments:

Post a Comment