Brand New Song: Sajna - Mbalamwezi
MBALAMWEZI” YA SAJNA: “Bila wewe hata wimbo huu hauna maana, nimezunguka sana baby kwako nimeangukia niokote, kuwa na wewe wengi walisema isingewezekana, sababu ya tofauti ya dini yote haya tulishinda baby, nimekuja dar si ningeishi mwanza, kwa marafiki zangu na wazazi walionizaa,
hayo yote mapenzi juu yako mbalamwezi, imulikayo moyoni mwangu baby”
HUU NI WIMBO MPYA WA SAJNA UNAITWA “MBALAMWEZI” MAALUM KWA WAPENDANAO WOTE KATIKA VALENTINE HII.. ENJOY…
No comments:
Post a Comment